boda boda nao hali bado ni ngumu
basi litokalo Makete la kampuni ya Mwafrika likiwa limefika mwisho ikiwa kutokea Makete
Hiii ndiyo hali halisi ya Makete
huyu ndio mwalikilishi wa wawa nanchi wenu mimi simo
Hali imezidi kuwa mbaya katika barabani Makete husasani katika barabara ya Ivalalila barabara ielekayo Mbeya hivyo kusababihsa adha kwa wasafiri waendao mkoa jirani wa Mbeya mtandao huu umefika katika eneo hilo na kushuhudia moja gali ya ya kampuni ya Pepsi likiwa limekwama huku likiwa limeziba njia
aidha mpaka sasa gali hilo bado halijatoka sehemu hiyo na gali hilo lianza kupa adha hiyo kuanzia saa sa moja asubuhi na mpaka sasa bado hali si nzuri katika eneo hilo baada ya gali hilo kuziba barabara na kufanya magali mengine yashindwe kupita eneo hilo mtandao huu unawasiliana na meneja wa TANLOARD mkoa ili kujua hali hiyo itaedela mpaka lini lakini mapaka sasa tuna shindwa kumpata kwani simu zake zinaita na bila kupokelewa
makete imekuwa ikipata adha ya usafiri husasani nyakati za masika nakufanya wananchi kushindwa kupata huduma za kimsingi ikiwemo kusafirisha mali ghafri nbidhaa mbalimbali



No comments:
Post a Comment