zimwi limezidi kuwaadama waigizaji
Msanii
Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa
Muhimbili.
Kwa mujibu wa Katibu wa chama
cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki
alikuwa anasumbuliwa na tatizo la
upungufu wa damu
No comments:
Post a Comment