Friday, December 28, 2012

NAKUPENDA DADA SIO HADI JK

NAIBU WAZIRI ALITEMBELEA NYUMBANI KWA SARA MWAJENI MLEMAVU WA MIGUU AMBAYE ALIPEWA BAJAJI NA RAIS KIKWETE MASINI WA MUNGU BAJAJI AMEHALIBIKA NA KUMUACHA MLEMAVU HUYU AKIPATA SHIDA JAMANI
   NAIBU WAZIRI ALIAHIDI KUMSAIDIA SARA  BAJAJI HIYO ILITOREWA MWAKA 2009 KWA BI SARA NA JK SASA IPO JUU YA MAWE

No comments:

Post a Comment