Mwanamke
anayeitwa Emeliana Wilson (17) amejifungua mtoto wa ajabu hivi
karibuni katika hospitali ya Ifisi Mbeya kama navyoonekana katika
picha.Watu waliyomuona mtoto huyo aliyezaliwa akiwa na macho
yaliyoungana, kitu kama pembe katika paji la uso wake na kutokuwa na pua
alisema yawezekana kuna mambo ya kishirikina. |
No comments:
Post a Comment