Bw Francis Godwin
(kushoto) akipokea cheti maalum baada ya kuhitimu mafunzo ya ulinzi
kwa wanaharakati wa haki za binadamu yaliyotolewa na kituo cha haki
za binadamu Tanzania (THRD) jijini Dar es Salaam jana,anayekabidhi
cheti ni mgeni rasmi katika hafla hiyo Mwanaharakati Azaveli
Lwaitama,Katika mafunzo hayo jumla ya wanahabari watatu ndio
walionufaika na mafunzo mbali ya Godwin wengine ni Said Kubenea na
Keneth Simbaya
Rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UPTC) Keneth Simbaya akikabidhiwa cheti chake
Mwenyekiti wa bodi ya THRD Bi Matrida Kabisama akikabidhiwa cheti chake na Lwaitama |
No comments:
Post a Comment