MAKETE 18/10/2012
Hitimaye wafanyabiashara wa
soko kuu la Makete mjini wameanza kutatua tatizo sugu lilikuwa likiikabili soko
hilo hapo awali
kwakukosa vioo baada ya vya awali kujaa.
Akizunguza na rizikimgayablogspot. Ofini
kwake juu msikabali wa vyoo hivyo bwa
Ruben Mpandila ambaye ni mwenyekiti wa soko hilo aesema tayari yameshaanza hatua za awali
kuchimba vyoo hivyo na sasa wapo katika hatua ya funika mashimo hayo .
Bwana Mpandila amesema walipokea tamko
kutoka kwa bwana afya wa wilaya kuwa halmaushari ya wilaya haina fungu lolote
linaloweza kujenga vyoo hivyo wakachuua
hatua halaka ya kuanza kujenga vyoo hivyo mapema ili kutosababisha magonjwa ya
yamlipuko.
Katika hali isiyo yakawaida
wafanyabishara wa soko hilo
hawakuwa tayari kuzungumzia chochote kuhusu ujenzi huo kwa kile walicho kidai
kuwa kuogopa vyombo vya dola kwani kumekuwapo na tabiaa ya baadhi ya vyombo vya
.dola kutimia vibaya dola
Na Elicia moshi
No comments:
Post a Comment