Sunday, September 23, 2012

MAN UNITED YAICHAPA LIVERPOOL MABAO 2-1


 Rio Ferdinand katikati akilalamikia kwa mwamuzi
 Steven Gerrard akifumua shuti kuifungia bao timu yake
 Mr Liverpool, Steven Gerrard akishangilia bao lake dhidi ya United
 Mlinda mlango wa Liverpool Pepe Reina akiwa ameshika mpira baada ya kufungwa penati na Van Persi anayeshangilia na Rafael da Silva
Robin van Persie akishangilia bao lake dhidi ya Liverpool

No comments:

Post a Comment