I
Godfrey Chikandawali alipokuwa akitambulishwa rasmi baada ya kuvua gamba na kuvaa gwanda
John Heche
Mwenyekiti wa BAVICHA akihutubia mkutano wa wananchi wa Mwenge wilaya
ya kinondoni
CHADEMA Imeendelea kuwatesa wapinzani wao CCM
kwa kuendeleza kwa kasi kampeni yake ya VUA GAMBA VAA GWANDA,ambapo jana
jioni kabisa Mwenyekiti Vijana (BAVICHA) John Heche aliwapokea
wanachama wengi wa CCM walioamua kujivua magamba na kujiunga na
M4C.Anayeonekana na gwanda jeusi pichani akiwa na mwenyekiti heche ni
ndg Godfrey Chikandamwali aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji wa CCM
wilaya ya Kinondoni,pamoja naye ni ndugu yake Anna Chikandawali mjumbe
wa UWT wilaya,na wengine wengi.Heche amepokea wanachama hao Mwenge
jijini Dar es Salaam
Picha kwa hisani ya
Jackson Makala
No comments:
Post a Comment