Tuesday, June 18, 2013

WANACHI MAKETE WAASWA KUHUDHULIA MAKONGAMANO MBALIMBALI

Mkuu wa wilaya ya Makete Bi Josephine Matiro akizungumza wakati wa kufungua rasmi mdahalo kuhusu utawala bora uliofanyika leo katika Ukumbi wa SUMASESU Tandala Washiriki wa mdahalo huo wakimsikiliza mkuu wa wilaya wakati akifungua mdahalo huo========Imeelezwa kuwa maedeleo ya wilaya ya Makete yatazidi kusonga mbele iwapo wananchi watashirikiana na viongozi waliowachagua bila woga pamoja na wananchi kutoa maoni yao kuhusu maendeleo ya maeneo yao kwa kuwa maoni yao ni ya msingi katika shughuli za kimaendeleoHayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Makete Bi Josephine Matiro wakati  Zaidi na http//eddymoblaize.blogspot.com

No comments:

Post a Comment