Wednesday, June 12, 2013

NA SISI TUNAWEZA TUKIWEZESHWA


Watu  wenye  ulemavu   wa  viungo ambao majina yao hayakuweza  kupatikana mara  moja  wakiwa  wamepeana msaada  wa  usafiri wa  Baiskeli ya  walemavu kama  walivyonaswa  jioni ya leo  eneo la Neema Crafts mjini Iringa ,hakika  wakiwezeshwa  wanaweza  kufanya mambo

No comments:

Post a Comment