Friday, May 24, 2013

MILLARD AYO AZUNGUMZA LIVE ON TWITTER LEO SIKILIZA HAPA

  1. Millard Ayo amefanya Twitter live chat leo na washabiki wake kwenye ukurasa wa Twitter wa Tigo - Tanzania. Pamoja na mengine mengi amezungumza na washabiki wake juu ya maisha yake, changamoto anazokutana nazo na jinsi anavyozikabili, malengo yake na kuwatia moyo wale wenye ndoto kama zake.
  2.  
  3.  Tigo ni mtandao wa kwanza Tanzania kuwaleta pamoja watu maarufu katika jamii ili waweze kushirikisha mambo muhimu na washabiki wao yatakayowawezesha kusonga mbele kimaendeleo. Tigo itaendelea kufanya hivi kupitia mitandao ya kijamii hasa twitter. Kufahamu zaidi juu Millard Ayo alichozungumza na washabiki wake, tembelea ukurasa wetu wa Twitter https://twitter.com/Tigo_TZ , utafute tweet za leo zenye #OngeanaTigoCelebTWITTER LIVE CHAT NA MILLARD AYO KATIKA PICHA (5 photos) Tigo Tanzania @Tigo_TZ 2h
  4. Naamini kuna mengi yanakuja tuombe Mungu tu mtu wangu, kuna jingine nitatangaza mwaka huu mwishoni
  1. Reply

    1. Daah, kwanza nimefurahi kujua kuna mtu wangu wa nguvu Zambia, pole boss... inarudi soon, hiyo ni ahadi
    1. Mtangazaji mwenye 100% kwangu ni HOLLYWOOD HAMILTON, nilianza kumsikiliza toka mwanzo wa vita ya Afghanistan
    1. ni uvumilivu na kutotaka mshahara mkubwa baada tu ya kupata kazi, niliambiwa silipwi nikakubali sababu nilitaka CV
    1. lol, Elizabeth bwana. nimepanga Mungu akijalia baada ya miaka miwili kutoka sasa ndio nitatangaza, unaonaje? lol
    1. Dakika chache zijazo atakuwa live kwenye tweeter katika ukurasa wetu. Muulize maswali ukimalizia na
    1. Ungana na ktk Twitter live chat ktk ukurasa wetu leo saa 9alasiri. Ku-chat naye, malizia tweet na
    1. Kama unakerwa unfollow tu usiwapangie masharti lol RT : fanyeni direct reply msitujazie timeline.
    1. nampa bigup sana barnaba kwa muziki mzuri wa kitanzania anaofanya haswa kwa uwezo wake wa kupiga gitaa
    1. Mfahamu Barnaba kwa undani, atafunguka katika ukurasa wetu wa Twitter kesho saa 9alasiri. Follow , tweet ukitumia

  • No comments:

    Post a Comment