Kutolipwa mishahara
kwa wakati kumekuwa ni moja ya changamoto katika sekta ya afya kwani
kucheleweshwa kwa mishahara na malipo sitahiki kunasababisha baadhi ya
watumishi katika secta hiyo kutofanya kazi kwa kujituma na kwakujitolea .
Wakisoma risara
katika siku ya wauguzi na wakunga kwa mgeni rasimi wauguzi hao wamesema kuwa
kumekuwa na mataizo mengi husasani ucheleweshji wa mshahara na malipo mengine
sitahiki ikiwemo malipo ya likizo na muda wa ziada “ndugu mgeni rasimi sisi kama
wauguzi tumekuwa tukikumbana na changamoto nyingi katika utendaji wetu wa kazi
mosi kumekuwa na ucheleweshaji wa mishara kwa watumishi wa hiduma hii na pia
kutolipwa kwa malipo mishahara kama malipo ya likizo sisio kama watumishi
tunashidwa kufanya kazi kwa moyo mnyoofu kutokanna tuu na kuto timiziwa yatu
wengine wamekuwa wakija kutolipoti na kuondoka kutokana tuu na kutolipwa malipo
yao hivyo tunaomba halimashauri kwa kushikilia na serikali kuweza kuwawekea
mazingira mazuri wauguzi pili tunapata shida sana kunandaa sherehe hii kutokana
na kutotengewa bajeti na tatu pesa ya sare tumnashindwa kuwa nadhifu kutokana
na sare zetu kuchakaa bila kupata
zingine”ilisema risala hiyo
Aidha wauguzi hao waliongeza kuwa baadhi ya wauuguzi wanaingia
katika taaluma hiyo kwa kugushi vyeti na pia wamekuwa wakiharibu kazi na jamii
kuwafilikia tofauti wauguzi na kuona kama kunaudui kati yao na wagonjwa jambo
ambalo wauguzi wengi wamelipinga vikali na kuitaka serikali iwe makini wakati
wa utoaji wa ajira ilikulinda na kuwakamata wanaoingilia taaluma hiyo bila elimu .
Nae mgeni rasmi wa siku hiyo ya wauuguzi kaimu mkurugenzi
wilya ya makete Jakobo Mehena amema kuwa kumekuwa na matatizo mengi kqwa
watumishi was sekta ya afya wilayani hapa kutokana na matatizo yanayo sababishwa
na wizara yenyewe lakini baadhi ni tatizo kutoka halimashauri “napenda
kuwahakikishia kuwa nitakwenda kumweleza
yote mkurugenzi wa wilaya kuhusiana mna matatizo bila shaka kwa yale ambayo
yapo ndani ya uwezo wake ataweza kuyatatua hususani la mishahra na pamoja
uandaaji wa shrehe hizi
Awali katika maadhimisho hayo mgeni rasimi aliwatembelea
wagonjwa na kuwapa mkono kwa kuwapa zawadi mbalimbali wagonjwa hao ili kuonyesha
wauguzi kuwa jail na kundelea kuwajali wakti wanapo patiwa huduma katika
hospitari hiyo
Siku ya wauguzi imeadhimishwa huku wauuguzi wengi
wakilalamikia maisha duni wanayo ishi katika makazi yao huku suala masilahi
nalo likitajwa kuwa ni moja kati ya vitu vinavyosababisha wauguzi hao kutotoa
huduma nzuri kewa jamii kutokana na kutotimiziwa matatizo yao na waliongeza
kuwa baadhi ya wauuguzi weanaingia katika taaluma hiyo kwa kugushi veti na pia
wamekuwa wakihalibu kazi na jamii kuwafilikia tofauti wauguzi
Siku ya wauguzi huadhimisha kitaifa kila tarehe 19 mwezi 3 kila
mwaka ambapo kitaifa madhimisho hayo yamefanyika jijini dar eesalam huku
kiwilaya yakifanyika katika hospitari ya wilaya Makete ambapo mgeni rasimi alikuwa nia kaimu mkurugenzi wilya ya makete
Jakobo Mehena huku kaulimbiu ikisema “TUSONGE MBELE TUTAFAKARI TULIKOTOKA ”
No comments:
Post a Comment