Dereva wa daladala ambae jina
lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa ameshika panga mkononi
akitoka kumkoromea dereva mwenzake aliyetaka kumsababishia ajali kwa
kumchomekea eneo la Mshindo mjini Iringa leo
Hapa akitaka kumcharanga mapanga dereva mwenzake ,huku mwenyewe akinyosha mikono juu kuomba kusamehewa
Tabia ya madereva daladala mjini
Iringa kuendesha vyombo hivyo bila kuzingatia sheria limeendelea
kuongezeka na ajali pia kila kukicha
chanzo cha habari hii ni matukio daima
No comments:
Post a Comment