Wednesday, November 28, 2012

SHARO MILIONEA ALIVYOPUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE LEO TANGA





Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea' enzi za uhai wake.
  Mwili wa Marehemu Hussein Ramadhan 'Sharo Milionea' ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.
Mazishi ya Sharo Milionea yakiendelea kijijini kwao Lusanga - Muheza, mkoani Tanga.
Sehemu ya umati wa watu walioshiriki mazishi ya Sharo Milionea leo.
Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea, Mzee Majuto akielezea machache kuhusu marehemu.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA, GPL-TANGA)

No comments:

Post a Comment